Ndugu JK…

September 20, 2006 at 10:04 pm 2 comments

Naomba kukujuza kuwa hiyo ilikuwa ni upungufu wa hekima kwako.

Kidogo umepoteza hadhi nilokuwa nayo kwako.

Sijui, pengine ile nguvu mpya, ari na kasi zilikuzidi mbele za yule bwana.

Ni matumaini yangu kuwa haitabidi tuzungumzie swala la jinsi hii siku za usoni.

Advertisements

Entry filed under: Africa, Kenya, Literature, Media, Politics, Society, World.

The ICU are as peace-loving as we (Kenyans) are…:-) Laura Bush to bring clean drinking water to African schools

2 Comments Add your own

  • 1. ndesanjo  |  September 21, 2006 at 6:35 am

    Nimependa umeelekeza ujumbe wako kwa JK. Nimeona baadhi ya wanablogu wa Kenya wameamua kusakama Watanzania wote jambo ambalo nimeona halina busara. Wanaoamua kutukana Watanzania kwa makosa ya Kikwete wanakuwa hawana tofauti na Kikwete. Wote wanakuwa wako kwenye chungu kimoja. Sioni sababu yoyote ya habari hii ya JK na Bush kuwa ndio chanzo cha Watanzania na Wakenya kunyooshena vidole.

    Reply
  • 2. Kenyan Analyst  |  September 21, 2006 at 9:51 am

    Ndugu Ndesanjo, umenena kweli.

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Trackback this post  |  Subscribe to the comments via RSS Feed


Kenyan Analyst

Recent Posts

September 2006
S M T W T F S
« Aug   Oct »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930

Feeds


%d bloggers like this: